TRA United yawakusanya wataalamu TRA UNITED imeanza kujenga sura mpya ndani ya benchi lake la ufundi kwa kuvuta wataalamu kutoka vigogo wa Yanga na Azam FC, ikiwa hesabu za kuimarisha kikosi hicho msimu huu.
Farid Musa amuibua kocha Coastal Union FARID Mussa anaonekana kuwa miongoni mwa silaha ambazo Coastal Union imekuwa ikizisubiri kwa hamu, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fikiri Elias, akisema wakati umefika kwa winga huyo kuanza...
Kagera Sugar yashusha vyuma vitatu benchi la ufundi KAGERA Sugar imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi baada ya leo Septemba 30, 2026 kumtambulisha Amri Kiemba kuwa kocha msaidizi namba moja wa timu hiyo, huku Frank Domayo akiwa kocha...
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 24 UTANGULIZI “Jukumu lilikuwa mikononi mwako. Itabidi utupe maelezo ya kina ni kwanini Benjamin ameuawa” “Niwape maelezo gani tena?” “Huna budi kuisaidia polisi. Utakuwa mikononi mwetu hadi...
KMKM hali ni mbaya Ligi Kuu Zanzibar WALIOKUWA wawakilishi wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu 2026-2027, KMKM, hali yao ndani ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ni mbaya baada ya kukusanya pointi moja kwenye mechi nne...
Gamera azimia, Chipukizi ikiichapa mlandege KATIKA hali isiyotarajiwa, Kocha Mkuu wa Chipukizi United, Suleiman Mohamed’ Gamera’ amezimia uwanjani ghafla baada ya mchezaji wa timu hiyo, Ali Mwadini kukosa bao la wazi.
Matokeo ZPL yamshtua kocha Polisi UNAWEZA kusema ni kama hivi sasa timu ya Polisi imeanza kukata moto baada ya kutoka sare mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), huku matokeo hayo yakionekana kumshtua kocha msaidizi wa...
Usajili 10 bora Ulaya wenye thamani ndogo msimu huu KUTOKA kwa washambuliaji wenye uzoefu hadi vipaji vyenye umri mdogo vinavyosisimua, hawa hapa ni wachezaji 10 ambao wanaweza kuthibitisha kuwa usajili wa bei nafuu kwa timu zao mpya msimu huu...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Mkongwe arudi Serie A, apewa Parma Kocha Alberto Gilardino amerudi katika Ligi Kuu Italia, Serie A, baada ya kuteuliwa kuwa kocha mpya wa Parma, akipewa mkataba hadi mwisho wa msimu huu.