Kigogo DRFA afariki dunia, TFF, wadau waomboleza Vyama vya Mpira wa Miguu Dar es Salam (DRFA) na Ilala (IDFA) vimepata pigo kufuatia kifo cha ghafla cha mtumishi na kiongozi wa vyama hivyo, Daud Kanuni usiku wa kuamkia leo, Oktoba 17, 2026.
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 32 Almasi alipowambia hivyo shemeji zake hao waliingia kwenye gari walilokwenda nalo na kuondoka bila kuaga.
Winga Mlandege afichua jambo WINGA wa Mlandege, Boniphace Nickson amesema hayakuwa malengo ya timu kuanza msimu vibaya lakini imetokea, hivyo wanajipanga kuhakikisha timu inakaa sawa.
Polisi na rekodi mbili ZPL TIMU ya Polisi inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), imeendelea kuwa na wakati mzuri kwenye ligi hiyo baada ya kuongoza msimamo wa ligi ikiishusha JKU kileleni iliyodumu kwa masaa 24 pekee.
Tiketi za umrah kwa washindi wa marathon TAASISI ya Kidundo Charity imeandaa mbio za marathon zitakazofanyika Desemba 6, 2026, kwa lengo la kuwahamasisha wananchi kufanya mazoezi na kujiandaa kwa ibada ya Umrah.
Lampard na saa ya bahati ya bilioni 3 UNAIJUA siri nyuma ya mafanikio ya kocha wa Coventry City, Frank Lampard, katika Ligi Kuu England? Mwamba anavaa saa ya bahati yenye thamani ya Pauni 879,490 (zaidi ya Sh3.35 bilioni), inayodaiwa...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Carrick: ishu ya Martinez imefungwa KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesisitiza kuwa sakata la beki Lisandro Martinez halitavuruga mipango ya timu hiyo ya kurejesha makali yake baada ya matokeo yasiyoridhisha katika...