Lampard na saa ya bahati ya bil 3 UNAIJUA siri nyuma ya mafanikio ya kocha wa Coventry City, Frank Lampard, katika Ligi Kuu England? Mwamba anavaa saa ya bahati yenye thamani ya Pauni 879,490 (zaidi ya Sh3.35 bilioni), inayodaiwa...