Dili iliyokufa - 32 ILIPOISHIA “Sasa kwanini anamjali huyo na kunidharau mimi?” “Ni mapenzi tu yamezidi kwa mwenzako” “Sasa nataka umuondoshe huyo msichana halafu unifanyie dawa huyu mwanaume anipende...