Mayanga awajia juu mastaa Mbeya City KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga, amewajia juu wachezaji wake baada ya kipigo cha mabao 3-1 dhidi ya Kagera Sugar, huku akisema makosa ya umakini ndiyo yaliyowagharimu.