Bruno Fernandes kubaki Old Trafford? Man United yaanza mazungumzo
MANCHESTER United imefungua rasmi mazungumzo na nahodha wake Bruno Fernandes kuhusu mkataba mpya, ikiwa na lengo la kumfunga kiungo huyo anayeonekana kuwa mhimili muhimu wa kikosi hicho kwa muda...