Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 32 Almasi alipowambia hivyo shemeji zake hao waliingia kwenye gari walilokwenda nalo na kuondoka bila kuaga.
Nne zaanza vibaya Ligi Daraja kwanza Unguja LIGI Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja imeendelea huku timu nne zikishindwa kupata ushindi wowote tangu kuanza kwa ligi hiyo msimu wa 2026-2027.
Zungu ataja sababu ya kukaa benchi KVZ KIPA wa KVZ, Idrissa Mguya 'Zungu amesema licha ya kukosa namba kwenye kikosi hicho bado anaamini ana uwezo wa kucheza katika ligi yoyote kwa kiwango chake.
Uhamiaji upepo umebadilika Ligi Kuu Zanzibar BAADA ya Uhamiaji kufanya vizuri kwenye mechi tano za Ligi Kuu Zanzibar, upepo umebadilika upande wao wajikuta wakipoteza mechi tatu mfululizo kwenye ligi hiyo.
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Mkongwe Sergio Ramos kurejea Real Madrid SERGIO RAMOS anaweza kurejea kucheza soka nchini Hispania kwa kujiunga na Getafe, katika hatua inayoweza kumkutanisha tena na rafiki yake wa muda mrefu Real Madrid, Dani Carvajal.