Bwenzi: Simba, Yanga namba ipo "BADO kuzitumikia." Hiyo ni kauli ya nyota wa Mashujaa FC, Selemani Bwenzi akielezea furaha ya kuzifunga Simba na Yanga mabao ya kideoni, na safari yake ya kuzichezea timu hizo kubwa na kongwe...