Job aanza na majukumu mapya BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani siku 234 kutokana na jeraha la goti, beki wa Yanga, Dickson Job, amerejea rasmi uwanjani juzi wakati Yanga ilipoiondosha CFFA ya Madagascar kwa jumla ya...
Sitaki tena Urais - Sehemu ya 01 UTANGULIZI Katika ramani ya kubuni ya Afrika kuna nchi moja iliyoko katika pembe moja ya Afrika inaitwa Kamisa. Mji mkuu wake ni Maloto. Ni nchi ya kidemokrasia ambayo miaka michache nyuma...
ZAA yajipanga kupokea wageni wa AFCON 2027, Zanzibar BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA) imekagua maeneo mapya yaliyopendekezwa kwa ajili ya miradi ya miundombinu ya usafiri wa anga, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
Mlandege yaizamisha KMKM Ligi Kuu Zanzibar JAHAZI la KMKM limezamishwa na timu ya Mlandege baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kwenye mechi iliyochezwa uwanja wa Mao A, Unguja.
Zimamoto yarudi kileleni ZPL TIMU ya Zimamoto imeendeleza ushindani katika Ligi Kuu Zanzibar baada ya kuichapa Raskazone mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa Oktoba 19, 2026 kwenye Uwanja wa Mao A uliopo Unguja.
Geita Gold angalieni msimamo wa Ligi Kuu WANETU wa Geita Gold kabla ya yote angalieni msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu halafu kijiwe kiwaambie jambo.
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Walker: Nitafuta tatoo ya mataji Man City BEKI wa zamani wa Manchester City, Kyle Walker amesema atalazimika kuondoa tattoo yake inayoadhimisha mataji manne mfululizo ya Ligi Kuu England iwapo klabu hiyo itanyang’anywa mafanikio hayo...