Arne Slot presha ipo juu kisa mastaa wake KIJASHO kinamtoka Kocha wa Liverpool, Arne Slot baada ya kiungo wake Alexis Mac Allister kupatwa na maumivu ya misuli wakati alipokuwa akiitumikia timu yake ya taifa ya Argentina Alhamisi iliyopita.