Sitaki tena Urais – Sehemu ya 38 ILIKOISHIA “Na aende zake. Bora nibaki na umasikini wangu lakini niishi kwa amani.” “Kwa hiyo humtaki huyu jini?” “Simtaki na sitaki anifuate tena.” “Ninunulie mbuzi mweusi na kitambaa cha...