PRIME Usiku wa deni haukawii kukucha, weka kati tupimane ubavu! KAMA kuna kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa Yanga wanaomba kwa leo ni kuona timu hiyo inazinduka na kupata ushindi ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo.
PRIME Yanga, Tshabalala kuna kitu! BAADA ya kumvuta kikosini beki wa zamani wa Simba aliyekuwa akiitumikia Singida Black Stars, Israel Mwenda, mabosi wa Yanga ni kama inafanya komoa sasa, baada ya kudaiwa imeanza kunyemelea beki...
Kally kuanza na mastraika KMC KOCHA wa KMC, Kally Ongala, amesema anahitaji kufanya kazi kubwa ili kuhakikisha kikosi chake kinapata makali ya kutosha na kufanya vizuri katika michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara, huku akitaka eneo...
PRIME Simba kuna jambo, Fadlu achora ramani mpya KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kujiandaa kuikabili CS Sfaxien katika mechi ya tatu ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kesho Jumapili, lakini habari njema kwa Wanamsimbazi ni kitendo cha...
Pamba yambeba Kamara,wengine wanne MABOSI wa Pamba Jiji hawatanii, kwani baada ya kumtambulisha wachezaji wapya watatu, Deus Kaseke, Habib Kyombo na Hamad Majimengi, sasa wanajiandaa kuwaweka hadharani nyota watano wa kigeni...
Pamba yambeba Kamara,wengine wanne MABOSI wa Pamba Jiji hawatanii, kwani baada ya kumtambulisha wachezaji wapya watatu, Deus Kaseke, Habib Kyombo na Hamad Majimengi, sasa wanajiandaa kuwaweka hadharani nyota watano wa kigeni...
HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 15 MISHI, binti mrembo wa Kitanga, ambaye ukimwona unaweza kusema ni Mwarabu, ameolewa na dereva wa malori, Musa, lakini tayari amekolea katika penzi la mfanyabiashara, Mustafa.
JKU yapiga mtu 9-0 Ligi Kuu Zanzibar WATETEZI wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU juzi walitoa dozi ya maana baada ya kifumua Mwenge kwa mabao 9-0 na katika mechi ya upande mmoja ya ligi hiyo, huku nyota wa timu hiyo Mudrik Abdi Shehe...
Mlandege yaona mwezi Zanzibar MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi 2024, Mlandege jana imeonja ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar kwa msimu huu baada ya kuinyoa Mafunzo kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan kwa Wazee mjini...
Malindi haishikiki Zenji, Kibadeni apiga Hat Trick MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, Malindi imeendelea kuonyesha dhamira ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu, baada ya jana kuwanyooshaa wageni wa ligi hiyo, Inter Zanzibar kwa...
Jaruph: Kutoka Yanga, Simba hadi Morocco CHANGAMOTO ni moja ya hali inayomsukuma binadamu au kiumbe chochote kuchukua maamuzi magumu. Wapo wanaokata tamaa kutokana na changamoto iwe za kimaisha ua mambo wanayotaka kufanya.
Gor Mahia yapasuka tena KPL BAO la mkwaju wa penalti iliyopigwa katika dakika ya sita ya pambano la Ligi Kuu ya Kenya, limewazamisha watetezi wa ligi hiyo, Gor Mahiakwa mara nyingine tena ikicheza nyumbani dhidi ya Bidco...
Man City yatua kwa Florian Wirtz, Bruno Guimaraes VIUNGO wawili, Florian Wirtz wa Bayer Leverkusen na Bruno Guimaraes, 27, anayeichezea Newcastle United wameingia katika rada za Manchester City inayohitaji kuwasajili dirisha la majira ya baridi...