Mzungu aibeba Singida BS, ikitibua sherehe ya Mgunda Singida Black Stars imefanikiwa kupata ushindi wa tatu kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Namungo ya Lindi kwa mabao 3-2.