Tiketi za umrah kwa washindi wa marathon TAASISI ya Kidundo Charity imeandaa mbio za marathon zitakazofanyika Desemba 6, 2026, kwa lengo la kuwahamasisha wananchi kufanya mazoezi na kujiandaa kwa ibada ya Umrah.
KVZ na mikakati ya kutetea ubingwa OFISA Habari na Mawasiliano wa KVZ, Abduljalil Mohamed Salum amesema timu hiyo inalenga kushinda michezo iliyosalia katika mzunguko wa kwanza ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa...
Kocha Wembe achekelea ushindi wa kwanza KOCHA Mkuu wa Wembe, Ally Manyani amesema walistahili kupata ushindi wa mabao mengi zaidi dhidi ya Fufuni, lakini washambuliaji wake walishindwa kutumia vizuri nafasi walizotengeneza.