Dorotea amchapa Debora kwa pointi BONDIA Dorotea Muhoza, ameibuka mshindi dhidi ya Debora Mwenda baada ya kushinda kwa uamuzi wa majaji wawili katika pambano la Dar Boxing Derby lililofanyika kwenye Ukumbi wa EACLC, Ubungo, Dar...
Dili iliyokufa - 50 ILIPOISHIA “Ushahidi mzuri ni wa wake wa mshitakiwa wa kwanza ambao, licha ya wao kuwa washitakiwa, wameeleza mahakamani hapa kwamba mume wao aliwaua wanawake hao kwa kuwafyonza damu na kwamba...
Mlandege yaanza kusuka kikosi KATIBU Mkuu wa Mlandege, Hussein Ahmada amesema dirisha hili kubwa la usajili wameacha wachezaji 15 lakini wana mpango wa kusajili wengine kwa lengo la kukijenga kikosi chao upya.
Juma Shaaban aziweka tatu mezani WAKATI mchezaji Juma Shaaban ‘James’ akiachana na KVZ, JKU, Uhamiaji na Black Sailors zinatajwa kuingia kwenye mbio za kuwania saini ya beki huyo.
BTMZ, ZFF waungana kuinua vwango vya makocha Zanzibar NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Ali Abdulgulam Hussein, amesema mafunzo ya utimamu wa mwili kwa makocha ni hatua muhimu ya kuongeza ubora wa soka nchini.
Rekodi nane zinazosubiriwa WAFCON 2026 FAINALI za Mataifa ya Afrika kwa wanawake mwaka 2026, zimekuja tofauti kabisa kuanzia kwenye ongozeko la timu hadi pesa za washindi.
Gor Mahia yatuma salamu nzito Kagame Cup ikiifumua APR mabao 5-0 MABINGWA wa Kenya, Gor Mahia, wameanza kwa kishindo kampeni ya Kombe la CECAFA Kagame 2026 baada ya kuwachapa mabingwa wa Rwanda, APR FC, mabao 5-0 katika mchezo wa Kundi A ulioonekana kuwa wa...
Bifu la Trump, Lebron limenoga RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameibua mjadala mkubwa baada ya kumshambulia nyota wa NBA, LeBron James, kwa kumuita " mbaguzi," saa chache tu baada ya mkongwe huyo kuthibitisha kuwa ataendelea...