Bambo, Kingwendu 'wagoma kuzeeka' Wakongwe hao, ambao wamejenga majina yao kwa miaka mingi kupitia uchekeshaji, sasa wanaonekana kuendelea kutafuta nafasi katika ulimwengu wa burudani unaobadilika kila siku.
Winga Mlandege afichua jambo WINGA wa Mlandege, Boniphace Nickson amesema hayakuwa malengo ya timu kuanza msimu vibaya lakini imetokea, hivyo wanajipanga kuhakikisha timu inakaa sawa.