Mwenge yapata ushindi wa kwanza ZPL MWENGE SC imejiondoa kwenye kundi la timu ambazo hazijapata ushindi katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu baada ya juzi kuwachapa mabingwa watetezi wa ligi hiyo, KVZ bao 1-0.
KMKM hali ni mbaya Ligi Kuu Zanzibar WALIOKUWA wawakilishi wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu 2026-2027, KMKM, hali yao ndani ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ni mbaya baada ya kukusanya pointi moja kwenye mechi nne...
Gamera azimia, Chipukizi ikiichapa mlandege KATIKA hali isiyotarajiwa, Kocha Mkuu wa Chipukizi United, Suleiman Mohamed’ Gamera’ amezimia uwanjani ghafla baada ya mchezaji wa timu hiyo, Ali Mwadini kukosa bao la wazi.