PRIME Lamine Yamal anapatikanaje Simba, Yanga! KWAMBA kuna uwezekano wa mtoto wa Kitanzania katika umri wa miaka 17 akafanya mambo kama ya Lamine Yamal? Ni jambo gumu kufikirika. Amezaliwa Julai 2007 na tayari ni staa wa soka duniani kote.