Marlaw alirekodi 'Bembeleza' ili kuimba kwenye mahafali!
KWA miaka mingi Bongofleva imejaliwa vipaji vingi vikali, kimoja wapo ni Marlaw ambaye ametoaa albamu mbili, Bembeleza (2007) na Bidii (2009) na zote ziliweza kufanya vizuri kutokana zilikuwa na...