Waziri Pembe ataka vipaji vinavyouzika nje WAZIRI WA Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema Serikali inaendelea kuwekeza kwa kuibua vipaji vya vijana kwenye michezo watakaoiwakilisha nchi.
KISIWA CHAMAUTI - 37 ILIPOISHIA Hewa ile ilikuwa inaniliwaza kuliko manukato ambayo hujitia mwilini mwake. “Nitasubiri. Sina la kufanya” nikamwambia kwa sauti nzito ya huzuni. “Tutakutana mahabuba wangu.
ZFF yafungua ukurasa wa soka la kidijitali SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF) limefungua ukurasa mpya katika uendeshaji wa soka baada ya kuingia mkataba wa ushirikiano na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), unaolenga kuharakisha...
Waamuzi 53 kazini Ligi Kuu Zanzibar WAAMUZI 53 wamepewa jukumu la kusimamia mechi za Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2026/27, huku Kamati ya Waamuzi ikilenga kuhakikisha ushindani huo unaendeshwa kwa kuzingatia sheria na kanuni za soka.
KVZ yacheza dakika 450 bila ushindi MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, KVZ wameianza safari ya kutetea ubingwa wake na maandalizi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa namna ya kushangaza baada ya kucheza mechi tano sawa na dakika...
Athari ya dawa kwenye nywele KUNA watu wanaingia saluni na kusema, “Nataka nywele zikae hivi,” bila hata kuuliza dawa inayowekwa kichwani inaweza kufanya nini baada ya muda. Uzuri wa nywele unapendeza, lakini wakati mwingine...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Enzo aingia ‘top 4’ ya usajili wa gharama HATIMAYE imekuwa rasmi. Baada ya kuhusishwa na Manchester City kwa wiki kadhaa, kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, amekamilisha uhamisho wake.