Makata abanwa na mawili Polisi KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Mbwana Makata amebaini maeneo mawili yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa nguvu kubwa katika kikosi chake, licha ya timu hiyo kurejea kwenye ushindi katika mchezo wake...
Katwila: Geita Gold hatujakata tamaa KOCHA wa Geita Gold, Zuberi Katwila amesema hawajakata tamaa licha ya timu hiyo kupitia kipindi kigumu cha matokeo mabaya Ligi Kuu Bara na kipaumbele chao kwa sasa ni kuwajenga kisaikolojia...
Fadlu rasmi arithi mikoba ya Manqoba Yanga Yanga imemtambulisha rasmi Fadlu Davids kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo leo Jumamosi, Novemba 7, 2026.
Sitaki tena Urais – Sehemu ya 17 ILIKOISHIA “Hapa pia mapigano yalikuwa makubwa. Askari wengi wa waaasi waliuawa hapa” Mkuu wa majeshi alimwambia rais Shanga. “Nimeona una askari wengi waliouawa na magari yanawaka moto” “Hata...
FA Cup Unguja kuendelea Novemba 9 HATIMAYE, hatua ya 32 bora ya michuano ya Kombe la FA Cup kwa Kanda ya Unguja inatarajiwa kuchezwa Novemba 9, 2026 kwa michezo minne ya ufunguzi.
Kipa Wembe afichua jambo KIPA wa Wembe, Victor Marceline Njiku amesema walistahili kuondoka na alama sita katika mechi zao mbili za ugenini kisiwani Unguja, lakini matumizi mabaya ya nafasi yaliifanya kurejea nyumbani na...
Kipanga, JKU zavuna sita Pemba KIPANGA FC na JKU SC zimeondoka kisiwani Pemba zikiwa na furaha baada ya kila moja kuvuna alama sita katika michezo miwili ya Ligi Kuu ya Zanzibar.
Maprodyuza wanapokuja kuanzisha ligi na wasanii KATIKA muziki wa Bongofleva 2026, kuna sura mpya ya ushindani kwani watayarishaji wa muziki maarufu kama maptodyuza wanaongeza kasi ya kuingia kwenye uimbaji, tofauti na ilivyozoeleka miaka ya...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Mariga avuliwa umakamu wa rais FKF, Ambani apinga Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ na Inter Milan, McDonald Mariga, ameondolewa katika nafasi yake ya makamu wa rais wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF) sambamba na ujumbe...