Video Ahmedy Ally aipiga mkwara Yanga mastaa wa Simba wakienda Sauz kwa makundi,jeuri ya MO Dewji Ijumaa, Septemba 25, 2026
Taifa Stars yaanza kwa kichapo nyumbani AFCON 2027 TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepoteza mchezo wake wa kwanza wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027) baada ya kufungwa nyumbani kwa mabao 2-0 na Guinea-Bissau.
Cedric Kaze kazi ipo Kagera Sugar KOCHA Cedric Kaze ametua Kagera Sugar akiwa amebeba kazi nzito kuliko kutafuta ushindi wa mechi. Ameingia kwenye timu inayohitaji kubadilisha mwelekeo haraka huku ikiwa na changamoto kadhaa za...