Ligi Kuu ya Wanawake kuanza Oktoba 28 SAFARI ya kutafuta malkia mpya wa soka la wanawake nchini inaanza rasmi Oktoba 28, 2026, wakati Ligi Kuu ya Wanawake Bara (WPL) msimu wa 2026/27 ikitarajiwa kufungua pazia la vita ya kuwania...