Curry, Mavericks NBA kuna picha linasukwa? LIGI ya Kikapu Marekani (NBA), ina maajabu yake na imeshayaonyesha kwa miaka mingi sasa.
Wapinzani wa Simba CAFCL, wamsimamisha kazi kocha mkuu Siku chache kabla ya kuanza kwa kampeni za michuano ya kimataifa, miamba ya soka nchini Malawi, klabu ya Mighty Wanderers FC, imetangaza kumsimamisha kazi kocha mkuu wa timu hiyo, Bob Mpinganjira.
Chelsea yahitaji zaidi ya kipa kutwaa ubingwa MASAA matano tu baada ya Chelsea kuthibitisha usajili wa kipa Emiliano Martinez, nyota huyo alijikuta akicheza mechi yake ya kwanza akiwa Stamford Bridge dhidi ya Brighton.
KISIWA CHAMAUTI - 35 ILIPOISHIA Tulitoka katika lile jumba. Wakati tunatoka Yasmin aligeuka juma akalitazama jumba hilo kwa mara ya mwisho. Sikujua alikuwa akiwaza nini. Baada ya kulitazama kwa sekunde chache...
ZFF yafungua ukurasa wa soka la kidijitali SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF) limefungua ukurasa mpya katika uendeshaji wa soka baada ya kuingia mkataba wa ushirikiano na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), unaolenga kuharakisha...
Waamuzi 53 kazini Ligi Kuu Zanzibar WAAMUZI 53 wamepewa jukumu la kusimamia mechi za Ligi Kuu Zanzibar msimu wa 2026/27, huku Kamati ya Waamuzi ikilenga kuhakikisha ushindani huo unaendeshwa kwa kuzingatia sheria na kanuni za soka.
KVZ yacheza dakika 450 bila ushindi MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, KVZ wameianza safari ya kutetea ubingwa wake na maandalizi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa namna ya kushangaza baada ya kucheza mechi tano sawa na dakika...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Messi atangaza kustaafu soka la kimataifa GWiji wa soka la Argentina, Lionel Messi ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa, akisema uamuzi huo “umeumiza”, lakini anatambua kuwa wakati umefika wa kuagana na timu yake ya taifa.