Jengo la Yanga Kariakoo kugharimu Sh5.5 bilioni YANGA SC, imeanza rasmi safari ya kujenga jengo la kisasa la Yanga Tower, baada ya uongozi wa klabu hiyo kusaini mkataba na kampuni ya Group 6 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo wenye thamani...
Mauaji ya kutisha – Sehemu ya 3 UTANGULIZI Almasi mwenyewe ndiye aliyetoa jina hilo kumpa mjuu wake. Alipofahamishwa kuwa mkwe wake alikuwa amejifungua alikwenda hospitalini alikokuwa amelazwa Hilda. Pamoja na mambo mengine...
Chipukizi hali tete Ligi Kuu Zanzibar TIMU ya Chipukizi, imeanza msimu wa 2026-2027 katika Ligi Kuu Zanzibar vibaya baada ya kuambulia vipigo viwili na sare moja.
Safu ya ushambuliaji yaipasua kichwa Mlandege KOCHA Msaidizi wa Mlandege, Sabri China amesema udhaifu katika eneo la ushambuliaji pamoja na hofu iliyowakumba wachezaji wakati wa mchezo ni miongoni mwa sababu zilizochangia timu hiyo kupoteza...
Tatu zaanza kinyonge Ligi Kuu Zanzibar WAKATI mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ukikamilika Septemba 4, 2026, huku mzunguko wa tatu ukianza jana Jumapili, timu tatu zimeonekana kuanza kinyonge baada ya kushindwa kupata pointi.
Ambulance viwanjani, kinga dhidi ya majanga ya soka KWA mujibu wa kanuni za soka zilizopokewa kutoka Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), katika kila mchezo wa soka ni lazima kuwepo na gari la wagonjwa, yaani Ambulance.
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Infantino aanikwa, saini 100,000 zadai aondoke FIFA KAMPENI ya kutaka kumng'oa rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Gianni Infantino imeingia katika hatua nyingine Ulaya ambako harakati za kutaka kumshtaki kiongozi huyo zinaendelea, huku pia...