Uchaguzi mkuu Simba Januari 3, 2027 SIMBA imetangaza ratiba ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo, ambapo zoezi la kupiga kura linatarajiwa kufanyika Januari 3, 2027, baada ya kukamilika kwa hatua mbalimbali za mchakato huo, zikiwemo...
Kazimoto anavyopiga kazi mbele ya Kibwana, Mwenda MIONGONI mwa mabeki waliopewa nafasi na kocha Manqoba Mngqith na kuitumia vizuri ni beki wa kulia, Ibrahim Kazimoto ambaye alipandishwa timu kubwa kutokea ya vijana ya Yanga U-20.
Ajali ya treni yaahirisha mechi 24 Hispania SHIRIKISHO la Soka la Hispania (RFEF), limeahirisha mechi zote 24 za Copa del Rey zilizopangwa kuchezwa leo Jumatano, kufuatia ajali ya treni mbili iliyotokea saa 2:54 asubuhi kwa saa za Hispania...
Uchaguzi mkuu Simba Januari 3, 2027 SIMBA imetangaza ratiba ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo, ambapo zoezi la kupiga kura linatarajiwa kufanyika Januari 3, 2027, baada ya kukamilika kwa hatua mbalimbali za mchakato huo, zikiwemo...
Sitaki tena Urais – Sehemu ya 07 UTANGULIZI Baada ya kivuli hicho kutoweka watu waliondoka kwenye viti na kwenda kumpa Shanga mkono wa pongezi. Wengine walidiriki kumuita mheshimiwa rais. Wakati wote alipokuwa akipeana mkono na...
Kiungo Polisi autaka Ubingwa ZPL KIUNGO wa Polisi Zanzibar, Abdul Said Migomba ‘Nyau’ amesema lengo la timu hiyo msimu wa 2026-2027 ni kuandika rekodi mpya ya kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Zanzibar.
Ligi Kuu Zanzibar yarejea kibabe LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) imerejea baada kupisha michuano ya Kombe la FA ambapo sasa ni mzunguko wa tisa ambapo jana baada ya kuchezwa mechi mbili kati ya Raskazone dhidi ya Wembe huku Muembe...
Kabaddi yaanza vibaya Jumuiya ya Madola TIMU ya Taifa ya Kabaddi ya wanaume kutoka Tanzania, imeanza vibaya kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayoendelea nchini India baada ya kufungwa pointi 48-21 na SRI Lanka.
Tanzania ishinde pia nje ya uwanja AFCON 2027 FAINALI za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 zitakapofanyika Afrika Mashariki, macho ya mashabiki yataelekezwa kwa wachezaji, makocha na matokeo. Tanzania, Kenya na Uganda zimepewa nafasi...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Henry ajitetea kwa kashfa ya Ballon d’Or, asema watu wamekuza mambo NYOTA wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, amejitetea dhidi ya ukosoaji alioupata kutokana na namna alivyokuwa akiendesha hafla ya tuzo za Ballon d’Or Jumatatu...