Tanzania yaporomoka viwango FIFA, Rwanda yapaa Tanzania imeanguka kwa nafasi tatu katika chati ya viwango vya ubora wa soka ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Oktoba 2026.
Mwamba kastaafu, Aziz KI, Okello wanabaki na urithi WAKATI nyota wa soka duniani, Lionel Messi, akifunga ukurasa wa miaka 21 ya kuitumikia timu ya taifa ya Argentina, kuna wachezaji ambao safari zao za soka zimejengwa kwa kuvutiwa na ufundi wake.
Simba yakwepa lawama mauzo tiketi za Dabi Wakati hadi sasa tiketi za mechi ya Ligi Kuu ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga zikiwa hazijaanza kuuzwa, wenyeji wa mechi hiyo ya Ligi Kuu, Simba wamejivua mzigo wa lawama.
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 32 Almasi alipowambia hivyo shemeji zake hao waliingia kwenye gari walilokwenda nalo na kuondoka bila kuaga.
JKU yatibua mipango ya Uhamiaji JKU imeivuruga mipango ya Uhamiaji baada ya kuichapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) uliopigwa Oktoba 4 mwaka huu.
Ligi ya viziwi ilivyoacha somo Zanzibar LIGI ya Viziwi Zanzibar imeshatamatika baada ya kuchezwa kwa siku 10, kuanzia Septemba 17 hadi 27, 2026, ikishirikisha timu nne za Vuka Deaf, Wakombozi Deaf, Zan Deaf na Hope City Deaf, zote...
Vita Kipa Bora Zanzibar yanoga MBIO za kuwania tuzo ya Kipa Bora msimu wa 2026-2027 zipo kwenye hatua ya kuvutia zaidi baada ya matokeo kuweka safu ya makipa hao katika ushindani wa karibu.
Dakika 90 bora za Dabi zinaanzia kitandani, wachezaji waonywa ZIMEBAKI siku tatu tu ili kushuhudiwa kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaokutanisha watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, maarufu kama Kariakoo Derby. Leo nitatoa ufahamu kuhusu usingizi bora kwa...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Arteta aongeza mingine Arsenal hadi 2030 Mikel Arteta amesaini mkataba mpya wa muda mrefu na Arsenal, akiongeza muda wake wa kuendelea kuwa kocha wa timu hiyo hadi Juni 2030.