Ronaldo ampa kongole Messi CRISTIANO Ronaldo ameweka pembeni ushindani wake wa muda mrefu na Lionel Messi, akimtumia ujumbe wa heshima baada ya nyota huyo wa Argentina kufunga rasmi ukurasa wake wa miaka 21 akiwa na timu...
Pedro Rodriguez atupa taulo MSHAMBULIAJI wa zamani wa Hispania, Pedro Rodriguez, ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 39 baada ya kumaliza safari ya miaka 20 katika mchezo huo.
Bao la Clara lachaguliwa kuwa bao bora la wiki MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Clara Luvanga ameendelea kuandika historia kwenye soka la Marekani baada ya bao lake alilofunga wiki iliyopita kutyangazwa kuwa bao bora la wiki katika Ligi ya Wanawake...
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 32 Almasi alipowambia hivyo shemeji zake hao waliingia kwenye gari walilokwenda nalo na kuondoka bila kuaga.
Mabeki wamliza kocha Uhamiaji WAKATI Uhamiaji ikifungwa kwa mara ya kwanza Ligi Kuu Zanzibar, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Sheha Khamis mesema safu ya beki ilifanya makosa yaliyochangia kipigo hicho.
Hesabu kali Raskazone Ligi Kuu Zanzibar KOCHA Mkuu wa Raskazone, Salum Ali Haji amesema kwa sasa malengo yao ni kukusanya pointi zitakazowaweka katika mazingira mazuri katika msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
JKU yatibua mipango ya Uhamiaji JKU imeivuruga mipango ya Uhamiaji baada ya kuichapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) uliopigwa Oktoba 4 mwaka huu.
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Pep Guardiola kuishuhudia Man City Etihad PEP Guardiola anatarajiwa kurejea Uwanja wa Etihad wiki ijayo kushuhudia Manchester City ikikipiga dhidi ya Paris Saint-Germain katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufika...