Kagera Sugar katika matumaini mapya msimu wa 2026-2027 KLABU ya Kagera Sugar maarufu kwa jina la utani la ‘Wanankurukumbi’, ni timu kutoka Mkoa wa Kagera, uliopo Kanda ya Ziwa iliyobeba matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika michuano mbalimbali...
Mtego mpya wa mafundi wa mipira iliyokufa EPL 2026/27 MSIMU mpya wa Ligi Kuu England umewadia. Makocha wanaendelea kuboresha vikosi. Hata hivyo huenda ukawa umeanza huku kila timu ikijiweka sawa katika namna kuicheza na kuidhibiti mipira iliyokufa...
Mashujaa ilivyofunga milango ya usajili MASHUJAA FC imefunga milango ya usajili katika eneo la ushambuliaji, ikisisitiza kuwa haina mpango wa kuongeza mchezaji mwingine katika nafasi hiyo hata kama mshambuliaji Ismail Mgunda...
KISIWA CHA MAUTI - 19 ILIPOISHIA Gari la hospitali lilikuwa limeshafika. Yasmin alipakiwa na kukimbizwa hospitali. Gari hilo la hospitali lilifuatana na gari la maofisa usalama na gari la rais mwenyewe. Lakini gari...
Waamuzi 65 wafuzu mtihani utimamu wa mwili WAAMUZI 73, wakiwemo wanawake 12, wamefanya mtihani wa utimamu wa mwili katika Uwanja wa Mao Zedong kisiwani Unguja, huku 65 wakifanikiwa kufuzu na 18 wakishindwa.
Vipaji Zanzibar vyateka Simba, Yanga, Azam KASI za klabu za Simba, Yanga na Azam FC kuweka nguvu kusajili wachezaji wazawa kutoka Tanzania Visiwani kwa miaka ya hivi karibuni, inaweza ikapunguza idadi kubwa ya nyota wanaotoka Bara kupata...
Mbeki ahamia KVZ, aweka hadi ya kutetea ubingwa BAADA ya kuitumikia Mlandege kwa misimu mitano mfulululizo, beki wa kushoto, Said Mussa Said maarufu kwa jina la Mbeki, anakwenda kukiwasha KVZ ambayo ni bingwa wa Ligi Kuu Zanzibar msimu wa...
LA LIGA inaanza leo, macho kwenye skrinii! Kabla ya kurejea kwa La Liga leo, Agosti 15, 2026, kuna wachezaji tisa ambao inatarajiwa mashabiki kutoka pande nne za dunia watakuwa wakiwafuatilia kwa karibu katika msimu wa 2026/27.
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Arteta vs Maresca vita ya kwanza ya taji Cardiff LEO Jumapili, Arsenal na Manchester City zitashuka dimbani kuwania Ngao ya Jamii (Community Shield) ya msimu wa 2026/27, mchezo ambao kwa kawaida huwa pazia la ufunguzi wa msimu mpya wa soka...