PRIME Mpanzu, wenzake wana wiki mbili tu SIKU chache tangu washindwe kuhimili kishindo cha Yanga na kukubali kichapo cha mabao 2-0 wakifunga msimu wa 2024-2025 bila taji, mastaa wa Simba akiwamo Elli Mpanzu na Jean Charles Ahoua...
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 5 Alipoingia katikati ya kundi hilo akaliona gari la Idara ya upelelezi alilokuwa akiendesha Temba, tairi zake za mbele zimeingia katika mfereji. Msembeko alichungulia ndani ya gari hilo na...
Kijo kocha mpya Zanzibar Sand Heroes SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), limemteua Kijo Nadir Nyoni kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Soka la Ufukweni. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Juni 27, 2025 na Ofisa...
Sauti Sisters yazidi kulizamisha jahazi la Warriors Queens KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopokea Warriors Queens kutoka kwa Sauti Sisters, kimeifanya timu hiyo kuwa na hali mbaya zaidi kwenye msimamo wa Ligi Kuu Soka Wanawake Zanzibar. Mchezo huo uliopigwa...
JKU Princess yaendelea kugawa dozi Zanzibar TIMU ya JKU Princess, imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu Soka Wanawake Zanzibar (WPL) baada ya kuichapa Dunga Queens mabao 9-0.
Badru arejea London kivingine, akichimba mkwara mzito MAKOCHA wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto ya kufanya kazi nje ya nchi hasa barani Ulaya lakini ni wachache ambao wamefanikisha hilo na mmoja kati yao ni Mohammed Badru.
Staa wa Yanga kuwania uenyekiti AFC Leopards SC Bonface Ambani, gwiji wa soka nchini Kenya na mchezaji wa zamani wa AFC Leopards, amezindua rasmi ilani yake ya kampeni iitwayo “IPOSIKU” leo Juni 26, 2025, katika ukumbi wa KCB Simba jijini...
Mbeumo na Man United ni kama imeisha! BRYAN Mbeumo anaweza kuwa staa mpya wa Manchester United hadi kufikia mwisho wa wiki ijayo, imeelezwa.
PICHA: Viongozi mbalimbali wa Serekali, TFF, TPLB, Yanga na Simba walivyowasili kwenye mkutano sakata la Dabi