Infantino aanikwa, saini 100,000 zadai aondoke FIFA
KAMPENI ya kutaka kumng'oa rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Gianni Infantino imeingia katika hatua nyingine Ulaya ambako harakati za kutaka kumshtaki kiongozi huyo zinaendelea, huku pia...