Ukisikia wanacheza kamata rimoti yako Kombe la Dunia la FIFA 2026 litakuwa na timu 48 na zaidi ya wachezaji 1,200. Ni kina nani wachezaji unaopaswa kuwaangalia katika Kombe la Dunia 2026? Hawa hapa mastaa 15 ambao unasubiri kuwaona...
Mbinu za Arteta zilivyoizamisha Everton ngumu Goodison Park BAADA ya mapema jana Jumamosi Manchester City kukamilisha ushindi uliotarajiwa dhidi ya West Ham katika mechi ya Ligi Kuu y England (EPL), Arsenal ilijua ni ushindi pekee dhidi ya Everton ndio...
Walipo kwa sasa mastaa wa Leicester City waliofanya maajabu 2016 MSIMU wa 2015-16, Leicester City iliushangaza ulimwengu wa michezo kwa kushinda taji la Ligi Kuu England licha ya kuanza msimu ikiwa na uwezekano finyu kabisa na wacheza kamari waliobainisha kuwa...
Nani bado anamtaka Sterling Ulaya? KATIKA ulimwengu mwingine, ambako maisha ya wachezaji yangechukua mwelekeo tofauti, Raheem Sterling angekuwa sehemu ya kikosi cha England sasa, akicheza chini ya kocha Thomas Tuchel, ambaye...
Mambo 6 kuamua Dabi ya Manchester Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 10, Pep Guardiola hatakuwa kwenye benchi la Manchester City katika mchezo huo dhidi ya Manchester United, huku huu ukiwa wa kwanza wa Enzo Maresca katika...
Madogo janja EPL walioanza na ukali IKIWA tayari imesharejea kwa ajili ya msimu wa 2026/27, Ligi Kuu England imeshuhudiwa raundi ya kwanza ikimalizika jana, huku sura mpya zikianza kuchomoza na kuvuta hisia za mashabiki wa soka.
Hukumu ya namba EPL ikirudi wikiendi ZINAPIGWA mechi za raundi ya nne ya Ligi Kuu England (EPL) wikiendi hii, ambapo wakubwa wote watakuwa mzigoni kusaka alama tatu baada ya kumalizana na michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyopigwa...
Kivuli cha Ferguson chaitesa Man United KILA kocha anayekabidhiwa mikoba ya Manchester United anaonekana kuingia katika mtego uleule uliowanasa waliomtangulia.
Mambo matano kuamua picha la Liverpool, Arsenal LIVERPOOL itakuwa mwenyeji wa Arsenal katika mchezo mkubwa zaidi wa wiki ya tisa ya Ligi Kuu England utakaopigwa leo Jumapili, Anfield. Kwa kuzingatia ukubwa wa mchezo huo kuna mambo kibao...
Halloween ya Soka: Mechi tano za kusisimua ukiwa na MELBET Manchester United wanawatia hofu mashabiki wao, jijini Milan kutakuwa na pambano kati ya timu mbili ambazo bado hazijapoteza mchezo wowote kwenye ligi, huku Juventus wakijiandaa na keki ya...