Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8318 results for Mwandishi Wetu :

  1. Simba, Yanga kuishusha Mwadui

    ZIMEBAKI mechi chache mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara umalizike ambapo Mwadui FC inayocheza leo Ijumaa Desemba 18 dhidi ya Polisi Tanzania ipo katika hali mbaya na hatma ya kubaki ipo...

  2. Straika Muivory aipasua Yanga

    KELELE za mashabiki wa soka hasa wale wa upande wa pili, wanaoiponda Yanga kwa kushindwa kupiga dozi ya maana kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara ni kama zimewaamsha mabosi wa klabu hiyo, ambapo...

  3. Kifo cha Houllier chatikisa familia ya michezo

    kama kocha mwema aliyewahi kutokea ambaye mara zote ‘huwapa kipaumbele wengine kwanza’. Shabiki huyo mkubwa wa Anfield, Houllier alishawahi kuumwa ghafla akiwa anaisimamia timu hiyo dhidi ya...

  4. Bocco, Kagere wamaliza utata

    wamehusika kutengeneza jumla ya mabao 81, Bocco ambaye ndiye kinara wa mabao kwa sasa katika ligi ya msimu huu akifunga 32 na Kagere aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya akiwa na 49. Kwa msimu...

  5. Morrison, Kagere waanzia nje

    KAMA ilivyokuwa kwenye mchezo wa kwanza wa ugenini dhidi ya Plateau United, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amewaanzisha benchi washambuliaji, Meddie Kagere na Bernard Morrison, huku beki...

  6. Azam FC tatizo lipo hapa tu!

    MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba tayari atakuwa ameanza maisha mapya ya nje ya ajira akiwa kwao Romania hii inatokana na wiki moja iliyopita kutimulia...

  7. Fernandes akubali mavitu ya Van de Beek

    KIUNGO fundi wa mpira, Bruno Fernandes amesema tena kwa kusisitiza anaendana kimchezo na Donny van de Beek baada ya kuisaidia Manchester United kupindua meza dhidi ya Southampton kwenye Ligi Kuu...

  8. Makocha 12 wa Abramovich kwenye mechi 1000 Chelsea

    CHELSEA usiku wa leo Jumapili itashuka uwanja wa ugenini kukipiga na Sevilla kwenye mikikimikiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

  9. Kitwana Manara Simba, Yanga ya Nyamagana haijawahi kutokea

    Dereva wa treni iliyotubeba wachezaji, kwa furaha alipiga honi mfululizo kutoka Mikese hadi Dar es Salaam, alipofika Stesheni na yeye kibarua chake kikaota nyasi pale pale,” ndivyo anaanza...

  10. Vijana hawakufuata maelekezo

    KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 'Ngorongoro Heroes', Jamhuri Kihwelu 'Julio' amesema kukosa kwao ubingwa kwenye fainali ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ni...

Previous

Page 814 of 832

Next