Kisinda, Saido watema cheche unaambiwa kuliko nilivyocheza mechi ya mbili zilizopita,” alisema. MSIKIE SAIDO Alichosema Saido kwa upande wake ni maneno mafupi tu kwamba wakati wakiwa katika maandalizi ya mwisho kila kitu kipo sawa na...
ZFF yang’atwa sikio idadi waamuzi SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF) limeshauriwa kufanya mafunzo ya mara kwa mara kwa waamuzi ili kupata wale watakaoendana na idadi ya mechi zinazochezwa. Ushauri huo umetolewa na Katibu Msaidizi...
Mwana FA awatolea uvivu Basata sakata la ukaguzi wa nyimbo za wasanii Mbunge wa Muheza (CCM), Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kutafuta utaratibu mwingine wa kuzihakiki nyimbo za wasanii wanaodaiwa kutumia lugha chafu...
Greatlakes Freight & Transport yadhamini waogeleaji kusaka tiketi ya Olimpiki kuhamasisha mchezo huo. Pia wanahamasisha makampuni mengine kuwaunga mkono vijana wetu, ili waweze kupeperusha bendera ya Tanzania bila vikwazo na mawazo yanayoweza sababishwa na upungufu...
Lusajo atoa sababu kushindwa kutupia makundi Shirikisho Mshambuliaji na nahodha wa klabu ya Namungo, Reliants Lusajo jana alitupia mabao matatu pekee yake katika ushindi wa bao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania na kuipeleka Namnugoi hatua ya robo fainali ya...
Mastaa Simba, Yanga presha tupu! ZIMEBAKI siku sita tu kabla ya Simba na Yanga kuvaana katika mchezo wao wa 106 wa Ligi ya Bara, huku presha ikianza kuwapanda mastaa wa zamani wa timu hizo ambao wameshindwa kujizuia na kuanza...
Ubora wa siku 100 za Didier Gomes Simba NIANZE kwa kusema msimu wa 2020/2021 katika soka la Tanzania una matukio mengi na ratiba mbalimbali. Katika ratiba na matukio hayo tumeshuhudia katika ngazi za kimataifa ambapo klabu za Tanzania...
Gomes achomoa ofa ya Waarabu MASHABIKI wa Simba hawana sababu ya kuwa na presha kutokana na kuwepo kwa taarifa kwamba kocha wao, Didier Gomes anatakiwa na Libya ili kwenda kuinoa timu yao ya taifa, kwani Mfaransa huyo...
Ukweli penalti ya Kagere WAKATI tukio la penati tata iliyoipa Simba ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa likizua mjadala, wadau wa soka wamesema kuwa penati hiyo ilitolewa kimakosa na mwamuzi...
Yacouba aipeleka Yanga robo fainali ASFC Bao la dakika ya 53 likifungwa na mshambuliaji Yacouba Sogne limetosha kuivusha Yanga kwenda hatua ya Robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuwachapa wenyeji Prisons kwa bao...