Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8300 results for Mwandishi Wetu :

  1. Bashungwa aipa pole Simba, familia ya Hans Poppe

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameguswa na kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Zakaria Hans Poppe na kutoa pole kwa klabu hiyo. Bashungwa kupitia...

  2. Manara: Hans Poppe ameacha pengo kubwa kwa mpira wetu na Simba

    Msemaji mpya wa Yanga, Haji Manara ametumia post tatu kwenye akaunti yake ya Instagram kumuelezea aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans Poppe. Hans Poppe alifariki dunia jana...

  3. Mo Dewji: Hans Poppe ulikuwa wa kwanza na ulinyooka linapokuja suala la kuilinda Simba

    Kufuatia kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans Poppe, Mohammed Dewji ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo ameandika haya; "Moyo wangu una maumivu makali sana. Bado...

  4. Barbara: Moyo wangu mzito sana

    Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amemlilia Zakaria Hans Poppe aliyefariki Dunia jana usiku katika hospitali ya Aga Khan alipokuwa anapatiwa matibabu. Kupitia Instagram Barbara ameonyesha...

  5. Senzo: Hans Poppe amefanya nijue soka la Bongo

    Mtendaji Mkuu wa Mpito Yanga, Senzo Mazingiza kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika namna alivyomfahamu na alivyofanya kazi na aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans...

  6. Molinga afunguka kwanini ametua Namungo

    WAKATI klabu za Ligi Kuu Bara zikikamilisha usajili saa chache kabla ya dirisha la usajili kufungwa, Namungo FC ilimtambulisha mshambuliaji kutoka DR Congo, David Molinga katika ukurasa wa...

  7. Simba, Yanga kukipiga Desemba 11

    Ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 imetangazwa leo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu, Almas Kasongo na mechi ya watani wa jadi ikipigwa Desemba 11. Simba na Yanga zitafungua Ligi...

  8. Rapcha aachia albamu ya kwanza

    Hatimaye msanii wa Hiphop anayewika nchini Tanzania, Cosmas Paul Mfoy maarufu ‘Rapcha’ ameachia album yake ya kwanza iliyopewa jina la ‘Wanangu 99’. Rapcha ameachia albam hiyo ndani ya kipindi...

  9. Wanigeria wa Yanga wafundwa

    KABLA ya kuwavaa Yanga, Rivers United wamewekwa kitako juzi na kufundwa sheria zote za mpira wa miguu zilizorekebishwa. Habari zinasema uongozi ulifanya hivyo juzi ukihofia lolote linaweza...

  10. Yanga kucheza bila mashabiki

    RASMI sasa mechi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Rivers United itapigwa bila mashabiki kwenye uwanja wa Mkapa, Dar. Kama ilivyokuwa kwa Taifa Stars dhidi ya Madagascar...

Previous

Page 776 of 830

Next