Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Wanigeria wa Yanga wafundwa

KABLA ya kuwavaa Yanga, Rivers United wamewekwa kitako juzi na kufundwa sheria zote za mpira wa miguu zilizorekebishwa.

Habari zinasema uongozi ulifanya hivyo juzi ukihofia lolote linaweza kutokea kwenye mechi dhidi ya Yanga na kuwababaisha wachezaji wao ambao wengi ni wapya na wageni kimataifa.

Kwenye somo hilo walifundishwa sheria zilizofanyiwa maboresho na Fifa ambazo mara kadhaa huwachanganya wachezaji na walisimamiwa na marefa wawili waliobobeba kwenye Ligi Kuu ya Nigeria katika Uwanja wa Adokiye.