Rice apiga mbili, Arsenal ikijikita kileleni LONDON, ENGLAND: DECLAN Rice alifunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza baada ya kupona jeraha, akiiongoza Arsenal kupata ushindi muhimu ugenini dhidi ya Bournemouth wakishinda 3-2. Beki...
Offside ya Arsene Wenger imeiva! ILE ni offside. Mmefunga bao la offside. Ni mjadala ambao umekuwa ukiibuka mara kwa mara kutoka kwa mashabiki pindi timu zao zinapocheza na kutokea tukio la bao lililofungwa kuwa na utata kwa...
Umesikia hii ya Vinicius Jr, mashabiki Real Madrid wahusishwa NDO hivyo. Liverpool imepata msukumo mkubwa katika juhudi zao za kumleta nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior kwenda Anfield mwaka huu, baada ya ripoti kadhaa kutoka vyombo vya habari vya...
Dah! Manchester United yaporomoka kiuchumi MANCHESTER UNITED imeshuka hadi nafasi ya nane kwenye orodha ya klabu zenye mapato makubwa zaidi duniani.
Camavinga akataa ofa ya Liverpool, ataka kubaki KIUNGO wa kati wa Ufaransa, Eduardo Camavinga, ameonyesha nia ya kubaki katika viunga vya Real Madrid, licha ya timu kibao za Ligi Kuu England ikiwamo Liverpool kuonyesha nia ya kutaka kumsajili.
Mainoo apotezea dili la Napoli LICHA ya tetesi za awali kuhusu uwezekano wa kutolewa kwa mkopo kwenda Napoli, kiungo chipukizi wa Manchester United, Kobbie Mainoo, 20, anatarajiwa kubaki ndani ya kikosi cha mashetani hao...
Kilichosbabisha kifo cha beki wa Kakamega FAMILIA ya soka nchini Kenya imeingia katika maombolezo mazito kufuatia kifo cha beki wa klabu ya Kakamega Homeboyz, Silas Abungana.
Magwiji Man United watofautiana kuhusu Carrick MJADALA kuhusu mustakabali wa Michael Carrick huko Manchester United unaendelea. Kiungo huyo wa zamani wa Mashetani Wekundu aliteuliwa mwezi uliopita kuchukua nafasi ya Ruben Amorim kama kocha wa...
HAKUNA NAMNA! Rashford mmoja anavyoweka ubaoni mastaa sita Barca RAIS wa Barcelona, Joan Laporta na mkurugenzi wa michezo Deco, wanadaiwa kuwa na imani ya kwamba wanafanya uamuzi sahihi kwa kumsajili Marcus Rashford kwa mkataba wa kudumu mwishoni mwa mkopo...