Hapa Amorim atawaua nyie MANCHESTER United imetua Marekani kwa ajili ya mazoezi ya pre-season huku kikosi hicho kikiwa kimefanyiwa maboresho nusu, hakijakamilika kwa asilimia 100.
Emiliano bado awachanganya vigogo Manchester United MANCHESTER United bado inafanya majadiliano ya ndani kwa ajili ha kumsajili kipa wa Aston Villa na timu ya taifa ya Argentina, Emiliano Martinez dirisha hili, lakini wanarudishwa nyuma na ada ya...
Inter Milan yaingia vitani na Liverpool saini ya Guehi BEKI kisiki wa Crystal Palace, Marc Guehi ambaye anahitajika sana na Liverpool, ameingia katika rada za Inter Milan ambayo ipo tayari kupigana vikumbo na Majogoo hao wa Jiji la Liverpool...
Dortmund yamkomalia Sancho, Man United yashusha bei BAADA ya kuona hakuna timu iliyo tayari kutoa Pauni 25 milioni kwa ajili ya kumnunua winga wa kimatafa wa England, Jadon Sancho, mabosi wa Manchester United sasa wanaripotiwa kuwa wako tayari...
Sancho akubali sharti zito ili atue Borussia Dortmund JADON Sancho, ambaye ameachwa nje ya kikosi cha Manchester United ambacho kinaendelea na maandalizi ya msimu mpya, yuko tayari kukubali kupunguziwa mshahara kwa asilimia 50 ili kurejea Borussia...
Sesko kaikataa Man United kisa Newcastle United NEWCASTLE United imewasilisha ofa ya Pauni 65.5 milioni kwenda RB Leipzig kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji wa kimataifa wa Slovenia, Benjamin Sesko mwenye umri wa miaka 2
AC Milan yawekeza nguvu dili la Darwin Nunez AC Milan iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool, Darwin Nunez, 26, ili kumsajili dirisha hili la majira ya kiangazi.
Rodrygo afanya uamuzi dili la England, Saudia Winga wa kimataifa wa Brazil, Rodrygo,24, imeripotiwa kufanya uamuzi wa kubaki Real Madrid, licha ya kuvutiwa na ofa nono kutoka klabu za Ligi Kuu England kama Arsenal, Liverpool na Tottenham...
Watkins ajitoa sadaka dili la Sesko likikwama Man United STRAIKA Ollie Watkins yupo tayari kwenda kuziba pengo endapo kama Manchester United itashindwa kumsajili Benjamin Sesko.
Dili la Chelsea kwa Xavi Simons laingia ugumu, ipo hivi JARIBIO la Chelsea kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig raia wa Uholanzi, Xavi Simons, mwenye umri miaka 22, limekwama baada klabu ya mchezaji kusisitiza kwamba inahitaji pesa ili kumuuza.