Ibrahima Konate anakaribia kusaini mkataba mpya Liverpool BEKI kisiki wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa Ibrahima Konate, mwenye umri wa miaka 26, ambaye anatarajia kumaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa akasaini mkataba...
Arsenal, Liverpool vita nzito kumpigania Rodrygo Madrid LIVERPOOL na Arsenal zinajiandaa kutuma ofa Real Madrid dirisha la usajili la Januari kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa klabu hiyo na Brazil, Rodrygo, 24.
Salah afunguka mazito akiichana Liverpool MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohamed Salah ameishambulia timu yake na benchi la ufundi akieleza kwamba wanamtumpia lawama bila sababu kwani yeye siyo chanzo cha timu kufanya vibaya.
Wasaudia ni kufa au kupona kupata saini ya Mohamed Salah TIMU za Saudi Arabia zinajipanga kufanya kila linalowezekana kuhakikisha mojawapo inamsajili mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah.
PSG yabanwa ugenini, Ajax ikipata ushindi wa kwanza UEFA Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris St-Germain (PSG) wameshindwa kuifunga Athletic Club licha ya kutawala mchezo. Hata hivuo, bado wana nafasi nzuri ya kusonga mbele hatua ya 16 bora.
Arsenal, Spurs jino kwa jino dili la Scott McTominay ARSENAL inatazama uwezekano wa kumsajili kiungo wa Napoli na timu ya taifa ya Scotland, Scott McTominay, 28, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Barcelona yaendelea kutamani huduma ya Kane kikosini BARCELONA imewaweka katika rada zake mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, 32, pamoja na Julian Alvarez, 25, wa Atletico Madrid ambao mmoja inaweza kumsajili...
Njia ya Mayele kufika Kombe la Dunia 2026 DR Congo ya Fiston Mayele imebakiza mechi moja tu kukamatia tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika huko Amerika Kaskazini mwakani.
Delap asikilizia dili Fulham, mshkaji wake akitua MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa England na Chelsea, Liam Delap, mwenye umri wa miaka 23, anaweza kujiunga na Fulham katika dirisha hili la usajili iwapo tu kocha wake wa zamani aliyemnoa walipokuwa...
Wemby aiangusha Spurs, Knicks ikibakiza hatua mbili za ubingwa NBA MASHABIKI wa New York Knicks wana sababu zaidi ya kusherehekea baada ya timu yao kuendelea kung’ara katika fainali za NBA na sasa wanahitaji kushinda mechi mbili ili kutwaa ubingwa ambao jiji...