Endrick apiganiwa England, Madrid yashikilia hatima TOTTENHAM, Leeds United na Sunderland ni miongoni mwa klabu zinazomfuatilia kwa karibu mshambuliaji chipukizi wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Endrick Felipe, 19, ambaye kwa sasa...
Pyramids, Stade Malien zashinda zikienda robo fainali, Lupopo yaitibulia Mamelodi STADE Malien imeifunga Esperance na kujihakikishia nafasi ya kucheza robo fainali huku Pyramids ikitinga hatua hiyo kwa kishindo ikiichapa River United ya Nigeria kwa mabao 4-1.
Lamine Yamal avunja rekodi iliyomshinda Messi Barca HABARI ndo hiyo. Lamine Yamal amekuwa mchezaji mdogo zaidi katika historia ya FC Barcelona kufunga mabao 40 katika mashindano yote akiwa na klabu hiyo yenye maskani yake Camp Nou.
Bayern yajiondoa kwa Alvarez, Arsenal kicheko BAYERN Munich imeripotiwa kutokuwa na mpango wa kumsajili straika wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, 26.
Robert Lewandowski asubiri uchaguzi kuamua hatma yake MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, ameamua kusubiri matokeo ya uchaguzi wa urais wa Barcelona unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao kabla ya kufanya uamuzi kuhusu...
Real Madrid yatoa majibu kuhusu Endrick ARSENAL, Chelsea na Tottenham Hotspur zimeambiwa aziwezi kumpata mshambuliaji chipukizi wa Brazil, Endrick, 19, katika dirisha lijalo la kiangazi.
No Tuchel, no Ancelotti Man United! UNAWEZA kusema dua za Michael Carrick zinapokelewa kimyakimya kutokana na kuongezeka kwa makocha wanaohusishwa na kibarua chake anachofanya kwa sasa kusaini mikataba kwingineko.
Timu 12 Ulaya zapiga hodi Man United kumtaka Kobbie Mainoo KIUNGO wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Kobbie Mainoo, 20, anawindwa na timu 12 Ulaya ambazo zinasubiri kwa hamu kuona kama mabosi wa Man United watakuwa tayari kumwachia staa...
Durant staa wa nane NBA kufikia rekodi ya 31,000 KEVIN Durant amekuwa mchezaji wa nane katika historia ya Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) kufikisha pointi 31,000, lakini simulizi tamu ni namna alivyofikia rekodi hiyo.