Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9028 results for Mwandishi :

  1. Arsenal, Man City kuna mtu anaachwa!

    MWAKA Mpya 2026 umeshafika na sasa ni suala la kuhesabu tu miezi kabla ya Ligi Kuu England kufika mwisho na bingwa mpya kutangazwa.

    EPL Pict
  2. Vigogo Manchester City wamng’ang’ania Guehi

    MANCHESTER CITY inajiandaa kuwasilisha ofa ili kumsajili beki wa kati wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, kabla ya kufungwa dirisha la usajili la Januari.

    FUNUNU Pict
  3. Bernardo Silva akaribia kutua katika kikosi cha Juventus

    JUVENTUS inaongoza mbio za kuwania saini ya kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva, 31, ambaye mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.

    FUNUNU Pict
  4. Mzigo wa Real Madrid, Atletico ni kesho usiku

    BALAA hilo. Mahasimu Atletico Madrid na Real Madrid, watarudisha uhasama wao wa jadi watakapokutana katika nusu fainali ya Spanish Super Cup itakayopigwa Alhamisi hii huko Jeddah, Saudi Arabia.

    MADRID Pict
  5. Guehi aikataa Man City, Arsenal, Liverpool zatajwa

    BEKI wa Crystal Palace, Marc Guehi inadaiwa kukataa kujiunga na Manchester City na badala yake anataka kujiunga na Arsenal au Liverpool ambazo zimeonyesha nia ya kumsajili dirisha la majira ya...

    FUNUNU Pict
  6. Harry Maguire bado hakijaeleweka Man United

    MANCHESTER United bado inatafakari kuhusu hatma ya beki wao wa kimataifa wa England, Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 32.

  7. Salah ashikilia dili la Federico Chiesa kusajiliwa Juventus

    MATUMAINI ya Juventus kumsajili winga wa kimataifa wa Italia, Chiesa, mwenye umri wa miaka 28, yamefifia kwa sasa baada ya Liverpool kuwaeleza kuwa haitamtoa fundi huyo kabla ya kujua mustakabali...

    FUNUNU Pict
  8. Man United ugonjwa upo eneo hili!

    KITU kimoja tu kuhusu Manchester United, imechosha. Wote wanaichukulia kama klabu kubwa zaidi England na kwa hoja nzuri, pia inaweza kuwa ya kwanza au ya pili kwa ukubwa duniani.

  9. Madrid yapanga kuanza kubonga na Vinicius Jr

    REAL Madrid inatarajiwa kuanza upya mazungumzo ya mkataba mpya na mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, 25, ambaye ameweka wazi kuwa ana nia ya kuendelea kubaki Santiago Bernabeu...

    FUNUNU Pict
  10. Vinicius Jr, Madrid waanza kujadili mkataba mpya

    REAL MADRID wameanza mazungumzo ya kumuongeza mkataba wa nyota wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Junior, 25, ikiwa ni siku chache baada ya kuondoka kocha Xabi Alonso ambaye inadaiwa kuwa hakuwa...

Previous

Page 658 of 903

Next