Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9004 results for Mwandishi :

  1. Ayton ni suluhisho la ulinzi Lakers?

    TIMU ya Los Angeles Lakers imefanikiwa kutimiza moja ya malengo yake makubwa ya dirisha la usajili baada ya kufikia makubaliano na Deandre Ayton, aliyekuwa mchezaji wa Portland Trail Blazers, kwa...

  2. Barcelona yamgeukia Diaz baada ya Nico

    BARCELONA imepanga kuhamishia nguvu zao zote kwenye mchakato wa kumsajili winga Liverpool na timu ya taifa ya Colombia, Luis Diaz mwenye umri wa miaka 28, baada ya kufeli kumpata staa wa Athletic...

  3. Juventus yaja kivingine kwa Jadon Sancho

    JUVENTUS inaongeza juhudi kwa ajili ya kumsajili winga wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka 25, na inaweza kumtoa mchezaji wake kiungo kutoka...

    TETESI Pict
  4. PRIME Walibya wampandia dau Aziz KI

    LILE dili la kiungo mshambuliaji Stephane Aziz KI pale Wydad Athletic limeingia mdudu baada ya kocha wa timu hiyo kutaka akatwe na akikatwa anarejea Yanga, lakini kuna jipya limeibuka juu ya...

    AZIZ KI Pict
  5. PRIME Ibenge na ndoto ya uandishi iliyozimwa na ubaguzi Ufaransa

    KLABU ya Azam FC imemtangaza Jean-Florent Ikwange Ibenge kuwa kocha mkuu mpya kwa msimu wa 2025/26 akirithi mikoba ya ‘classmate’ wake Mmorocco Rachid Taoussi.

  6. Newcastle United yaingilia dili la Man United kwa Lewin

    NEWCASTLE imefanya mazungumzo na straika wa zamani wa Everton, Dominic Calvert-Lewin, 28, ili kumsajili dirisha hili.

    TETESI Pict
  7. Tatu zajitokeza dili la Jack Grealish

    TOTTENHAM, Newcastle na Napoli zipo katika vita ya kuiwania saini ya kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya England, Jack Grealish dirisha hili.

    FUNUNU Pict
  8. Chelsea FC yashikwa pabaya Uefa

    KIMENUKA. Chelsea huenda ikapigwa pini kuwatumia mastaa wake wapya Liam Delap, Joao Pedro na wengine itakaowasajili dirisha hili kwenye mikikimikiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.

  9. Rasmi Juventus yaweka mzigo mezani kwa Sancho

    JUVENTUS imewasilisha ofa ya pauni 8.65 milioni pamoja na nyongeza kwenda Manchester United ili kumsajili winga wa klabu hiyo na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho, katika dirisha hili.

    TETESI m
  10. Ada kikwazo uhamisho wa Darwin Nunez kwa Napoli

    STRAIKA wa Liverpool, Darwin Nunez yuko tayari kujiunga na Napoli katika dirisha hili la majira ya kiangazi, lakini changamoto kubwa inayokwamisha dili hilo ni Napoli kutokuwa tayari kutoa pauni...

    TETESI Pict
Previous

Page 599 of 901

Next