Mateta aliyeitungua Man United atakiwa Atletico ATLETICO Madrid ni miongoni mwa timu kubwa zinazohitaji saini ya straika wa Crystal Palace, Mfaransa Jean-Philippe Mateta, 27, ambaye mkataba wake na timu anayoichezea unatarajiwa kumalizika 2026.
Kwa Rashford pesa siyo shida, anataka tu kucheza WANASEMA ukiona cha nini wengine wanawaza watakipata line. Ndicho kilichotokea kwa Marcus Rashford ambaye alikuwa hapati namba kwenye kikosi cha Manchester United na zaidi hakujumuishwa kabisa...
Delap azipagawisha Chelsea na Manchester United MANCHESTER United na Chelsea zipo katika vita ya kuwania huduma ya straika wa Ipswich Town na England, Liam Delap, 21, ambaye ni miongoni mwa wafungaji waliofanya vizuri tangu kuanza kwa msimu...
Frimpong azigonganisha Liverpool, Manchester City LIVERPOOL na Manchester City zinapambana vitakuiwania saini ya beki wa kulia wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Uholanzi, Jeremie Frimpong, 24, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi na...
PRIME Ukipanda ndege ya supastaa Ronaldo utagoma kushuka! UNAPOKUWA supastaa kama Cristiano Ronaldo, unahitaji usafiri wa maana kama wa ndege binafsi ili kwenda sambamba na staili yako ya maisha.
Darwin Nunez awekwa sokoni rasmi Liverpool STRAIKA wa Liverpool, Darwin Nunez inadaiwa ni mmoja wa wachezaji walipewa ruhusa ya kuondoka timu hiyo dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Nicolas Jackson aingia anga za Atletico ATLETICO Madrid inataka kutuma ofa kwenda Chelsea katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kuipata saini ya mshambuliaji wa timu hiyo na Senegal, Nicolas Jackson, 23.
Kounde wa Barcelona aingia anga za Chelsea CHELSEA ipo tayari kulipa Pauni 83 milioni kwenda Barcelona ili kuipata saini ya beki kisiki wa timu hiyo na timu ya taifa ya Ufaransa, Jules Kounde, 26, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Sababu hii itamuondoka Isak Newcastle United NEWCASTLE United huenda ikawa tayari kumuuza straika wake raia wa Sweden, Alexander Isak katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi Ulaya kwa Euro 100 milioni ikiwa itashindwa kufuzu kucheza...
Angachi ataja sababu ya kuchagua jeshi na kukacha soka la kulipwa Ulaya Wakati wachezaji wengi wa soka wanaota kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, kiungo wa Ulinzi Starlets na Harambee Starlets, Sherly Angachi Andibo amechagua njia tofauti akijiunga na jeshi ili...