Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8994 results for Mwandishi :

  1. Mabosi washtukia jambo Man United, Amorim anahesabu siku

    MABOSI wa Manchester United wameonyesha kuchoka na mwenendo wa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya na sasa wanafikiria hasara watakaoipata ikishindwa kufuzu michuano ya Ulaya msimu ujao na...

    MABOSI Pict
  2. Denver Nuggets ya Jokic inavyoanza upya NBA

    DENVER Nuggets imeingia msimu mpya wa NBA 2025/26 ikiwa na ari mpya na mabadiliko ya kikosi, huku Nikola Jokic akieleza dhamira yake ya kubaki na klabu hiyo.

    NBA Pict
  3. Redick ana taji la Lakers NBA?

    LOS Angeles Lakers imeweka msimamo kuhusu mustakabali baada ya kumpa kocha mkuu Jonathan Clay Redick maarufu kama JJ Redick mkataba mpya wa kuendelea kuinoa timu hiyo, jambo linaloongeza hamasa...

  4. Man United yachapika Premier

    BAADA ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Brentford ugenini katika mchezo wa mapema uliopigwa leo Jumamosi, kocha wa Manchester United anadaiwa kuwa katika hali mbaya na mabosi wa timu...

  5. Kobbie Mainoo anukia Newcastle United

    NEWCASTLE United inapanga kuwasilisha ofa katika dirisha lijalo la majira ya baridi mwakani ili kumsajili kiungo wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Kobbie Mainoo, 20, ikiwa...

    TETESI Pict
  6. Barcelona yampigia hesabu Harry Kane atue Catalonia

    BARCELONA inaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich na nahodha wa timu ya taifa ya England Harry Kane, 32, ambaye hadi sasa amefunga mabao 95 katika mechi 102 za michuano...

    TETESI Pict
  7. Hili la mpira rasmi wa Ligi, tunaipongeza TFF

    Shirikisho la Soka nchini (TFF) na Bodi ya Ligi Kuu Bara, zimeandika historia mpya katika maendeleo ya soka nchini kwa kuzindua rasmi mpira maalumu utakatumika katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2025/26.

    MPIRA Pict
  8. Pacome, Duke Abuya mbabe kujulikana Alassane Ouattara

    Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, ilifanya mazoezi yao ya kwanza nchini Ivory Coast jana Jumapili jioni Oktoba 12, 2025, ikiwa ni maandalizi ya mechi ya mwisho ya kufuzu Kombe la Dunia la...

    HARAMBEE Pict
  9. Conor Mcgregor atiwa hatiani, UFC yamfungia miezi 18

    Conor McGregor amekubali adhabu ya kufungiwa kwa miezi 18 kushiriki katika mashindano ya Shirikisho la Mchezo wa Ngumi na Mateke (UFC) baada ya kukiuka sheria ya kupambana na dawa za kulevya ya...

    MCGREGOR Pict
  10. Dani Alves, mkewe wapata mtoto

    BEKI wa zamani wa Barcelona, Dani Alves, na mkewe Joana Sanz wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja, miezi saba baada ya hukumu yake ya ubakaji kufutwa, kwa mujibu wa ripoti.

    ALVES Pict
Previous

Page 573 of 900

Next