Mikal Bridges alivyopiga dili la mabilioni Knicks TIMU ya kikapu ya New York Knicks imefanikiwa kumsaini mmoja wa wachezaji wake muhimu, Mikal Bridges, kwa kumuomngeza mkataba wa miaka minne wenye thamani ya Dola 150 milioni (takriban Sh390...
Amorim ataka Sesko, Hojlund wacheze wote KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amebainisha kuwa na mpango wake ambao utawahusisha Benjamin Sesko na Rasmus Hojlund.
Liverpool kumechangamka, Wirtz akabidhiwa yake LIVERPOOL iko moto, ikitambulisha jezi mpya wa msimu wa 2025-26, zitakazovaliwa na majembe yao ya maana huku kiungo wao ghali, Florian Wirtz akikabidhiwa Namba 7, iliyokuwa ikivaliwa na Luis...
Haaland akumbuka kesi ya Man City STRAIKA Erling Haaland anaamini Manchester City haitakumbana na adhabu yoyote kwenye mashtaka yanayoikabili ya kukiuka kanuni za mapato na matumizi kwenye kikosi hicho cha Etihad.
Jeuri ya Maximo ilivyomnyima historia CHAN Klabu ya KMC ya Dar es Salaam imemtambulisha Marcio Maximo kama kocha wao mpya kuelekea msimu wa 2025/26. Hii ni mara ya tatu kwa raia huyo wa Brazil kuja Tanzania kufundisha soka, baada...
Paqueta mambo safi tu hajabeti KIUNGO wa West Ham United, Lucas Paqueta amefutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili juu ya sakata la kubeti ambalo lilikuwa likimuweka kwenye hatari ya kufungiwa soka maisha.
Usiichukulie poa CHAN 2024 FAINALI za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN 2024) ufunguzi wake ni leo Jumamosi Agosti 2, 2025 na wenyeji Tanzania watacheza dhidi ya Burkina Faso kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Yes! Samia na michezo damdamu UTASEMA nini kuhusu michezo hususani soka, bila kulitaja jina la Sais Samia Suluhu Hassan.
Chelsea ikimpata Simons kazi mnayo STAA wa RB Leipzig, Xavi Simons anaweza kuwa mtu sahihi kwenda kumpunguzia mzigo wa kutengeneza nafasi za mabao mchezaji Cole Palmer huko Chelsea.
Arteta afunguka kipigo cha Spurs KOCHA, Mikel Arteta amesema kichapo ilichokipata kutoka kwa mahasimu wao Tottenham Hotspur kwenye mechi ya kirafiki huko Hong Kong kinawaamsha kwamba wanapaswa kuongeza nguvu kwenye maandalizi...