Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8162 results for Mwandishi Wetu :

  1. Trent kuruhusiwa fasta Madrid

    BEKI wa kulia, Trent Alexander-Arnold anajiandaa kwenda kujiunga na Real Madrid akitokea Liverpool kwa ada isiyozidi Pauni 1 milioni ndani ya muda ili akakipige kwenye michuano ya Kombe la Dunia...

    TRENT Pict
  2. Man United ni wao tu kwa Osimhen, Chelsea yajitoa

    MANCHESTER United imeripotiwa kujiandaa kufanya usajili mkubwa kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi ili kumpatia kocha Ruben Amorim kikosi ambacho kitakuwa na nguvu ya...

    TETESI Pict
  3. Tiketi ya UEFA kumpa Casemiro pesa ndefu

    KIUNGO wa Kibrazili, Casemiro anajiandaa kupokea nyongeza kubwa kwenye mshahara wake endapo kama Manchester United itanyakua ubingwa wa Europa League na kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya...

    CASEMIRO Pict
  4. HII KITU HAIKUBALIKI… Nahodha Arsenal, kocha wawaambia mastaa

    NAHODHA wa Arsenal, Martin Odegaard amewaambia wachezaji wenzake kwenye kikosi hicho kwamba kipigo cha mabao 2-1 walichokumbana nacho dhidi ya Bournemouth, jana Jumamosi "haikubaliki".

    HAIKUBALIKI Pict
  5. Ligi Kuu za Ulaya ni mchakamchaka

    MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu za Ulaya unaendelea kupamba moto, kuanzia kwenye Ligi Kuu England, La Liga, Bundesliga, Serie A na Ligue 1. Ni balaa.

  6. 'Mbongo' aitibulia Bayern pati la ubingwa 

    PATI la ubingwa la klabu ya Bayern Munich, imetibuliwa Ujerumani baada nyota mwenye asili ya Tanzania, Yussuf Poulsen kufunga la la kusawazisha sekunde chache kabla ya filimbi ya mwisho na...

    YUSUF Pict
  7. Guardiola afunguka kusepa Man City

    PEP Guardiola amefunguka kwamba atang'oka kwenye soka kwenda kumpumzika baada ya kuachana na Manchester City, lakini ameweka kando mpango wa kustaafu kazi yake ya ukocha.

  8. Klopp atajwatajwa huko Real Madrid

    KIAPO cha Jurgen Klopp alichoweka ni kwamba atapumzika baada ya kuachana na Liverpool, lakini sasa kumekuwa na tetesi nyingi zikimhusisha na mpango wa kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa Real Madrid.

  9. Arteta kicheko Havertz yupo fiti

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema supastaa wake Kai Havertz anakaribia kurudi uwanjani kabla ya msimu kumalizika na hilo linaongeza mzuka zaidi kwenye kikosi hicho kabla ya mechi ya...

  10. PRIME BALAA! Tishio jipya afya za mastaa Ligi Kuu bara

    LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kabla ya kufikia tamati, huku zikiwa zimeshapigwa mechi 210 ikiwamo iliyochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kati ya wenyeji Simba na Mashujaa...

    New Content Item (1)
Previous

Page 485 of 817

Next