Luis Enrique aikejeli kijanja EPL KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique amekejeli kauli ya kwamba Ligue 1 ni ligi ya ‘wakulima’ licha ya kuzichapa timu nne za Ligi Kuu England kwenye mikikimikiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Napoli yajipanga kumng’oa Jack Grealish Etihad JACK Grealish anaripotiwa kuwa na mpango wa kuachana na Ligi Kuu England mwishoni mwa msimu huu ili akakipige Serie A baada ya miamba ya Italia, Napoli kuhitaji saini yake.
Liverpool yamtaka Kevin De Bruyne KIUNGO mchezeshaji wa Manchester City, Kevin De Bruyne amepata ofa ya kushtukiza ya kubaki kwenye Ligi Kuu England baada ya Liverpool kuhitaji huduma yake akakipige huko Anfield, imeelezwa.
Refa wa Inter Milan V Barca atoa majibu REFA wa Poland, Szymon Marciniak amejibu tuhuma za kwamba amewazuia Barcelona kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuwabana kwenye baadhi ya matukio katika kipute cha nusu fainali dhidi...
Man United, Athletic Bilbao kitawaka Europa League MAMBO ni moto. Kivumbi cha mechi za nusu fainali kwenye michuano ya Ulaya kinahamia kwenye mikikimikiki ya Europa League, ambapo vigogo wanne watapigana vikumbo kutafuta nafasi ya kucheza fainali...
Antony, Man United basi tena, Atletico yatia neno WWINGA wa Manchester United na timu ya taifa ya Brazil, Antony Matheus dos Santos maarufu kama Antony, 25, hana nafasi ya kurudishwa msimu ujao baada ya mkopo wake Real Betis kumalizika mwisho wa...
Barcelona yalia refa kaiua BARCELONA imemshushia lawama mwamuzi Szymon Marciniak baada ya kuchapwa kwenye mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kutupwa nje ya michuano hiyo na Inter Milan katika...
Arteta katibua watu kisa ubingwa wa ligi MASHABIKI wa Liverpool wamefyumu baada ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kubeza ubingwa wao wa taji la Ligi Kuu England msimu huu. Kocha Arne Slot aliongoza Liverpool kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu...
Guardiola kula za kichwa kwa Wirtz MANCHESTER City imepata pigo kwenye mpango wao wa kumsajili Florian Wirtz - ambaye wanadhani ni mrithi sahihi wa Kevin de Bruyne - baada ya mkali huyo kudai anataka kujiunga na Bayern Munich...
Arsenal mpo? Bei ya Sesko imepanda ARSENAL italazimika kulipa zaidi kunasa saini ya straika Benjamin Sesko kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya RB Leipzig kuongeza dau katika kipengele kilichopo kwenye...