Rais Mwinyi aibeba Simba, alipia gharama zote Amaan RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ametoa zawadi maalum kwa timu ya Simba kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja...
De Bruyne kujengewa sanamu KEVIN De Bruyne ameagana rasmi na mashabiki wa Manchester City usiku wa Jumanne, huku Kocha Pep Guardiola akitokwa na machozi baada ya kuthibitishwa sanamu ya heshima itajengwa kwa ajili ya nyota...
Lamine kupewa jezi ya Messi Barcelona inaripotiwa kufanya uamuzi wa kumpa Lamine Yamal jezi ya kihistoria namba 10 kuanzia msimu ujao kutoka 19 ya sasa, sambamba na mkataba mpya wa muda mrefu.
Neville: Waje sita Manchester United BEKI wa zamani, Gary Neville amefichua mastaa sita ambao Manchester United inapaswa kufanya kila inaloliweza kunasa saini zao kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi ili kukifanya...
Man United kuipiku Arsenal kwa Viktor Gyokeres MANCHESTER United ina matumaini kwamba inaweza kumshawishi mshambuliaji wa Sporting na timu ya taifa ya Sweden, Viktor Gyokeres, 26, kujiunga nayo katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi...
Lewis-Skelly kubeba mikoba ya Partey IWAPO Thomas Partey ataondoka Arsenal msimu huu wa majira ya joto, huenda kukawa na mabadiliko makubwa katika safu ya kiungo ya klabu hiyo. Mkataba wa Partey unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa...
PRIME Waarabu waongeza mzigo kwa Mzize, dili lipo hivi UKIONDOA jina la kiungo Stephanie Aziz KI aliyeuzwa Morocco, staa atakayefuata sasa ni straika Clement Mzize aliyebakiza wiki moja tu kuuzwa moja ya nchi ya Afrika Kaskazini baada ofa mbili kubwa...
Fainali Europa ni ya ufundi mwingi FAINALI ya Europa League itapigwa usiku wa Jumatano na miamba miwili ya Ligi Kuu England, Tottenham Hotspur na Manchester United itakutana yenyewe huko Estadio de San Mames, jijini Bilbao, Hispania.
Pep Guardiola atishia kung’atuka Man City PEP Guardiola ameonya ataondoka Manchester City iwapo klabu hiyo haitapunguza idadi ya wachezaji kipindi cha majira ya joto.
Bellingham kupasuliwa bega NYOTA wa Real Madrid, Jude Bellingham anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa bega baada ya mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu, hatua ambayo huenda ikamweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.