Kisa Arsenal, Henry amvaa Mikel Arteta LEJENDI wa Arsenal, Thienry Henry amekosoa Arsenal kwa kushindwa kwao kupata mataji akiwalinganisha na Manchester United ambayo kila tu anaicheka kutokana na kiwango chao.
Antony ataka kubakia Hispania WINGA wa Manchester United ambaye msimu uliomalizika alikuwa akicheza kwa mkopo Real Betis, anadaiwa kutaka kuendelea kusalia nchini Hispania ambako Atletico Madrid inafanya kila linalowezekana...
Yanga yalaani vitendo viovu walivyofanyiwa mashabiki wao fainali CAFCC Klabu ya Yanga imesikitishwa na kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa mashabiki wao katika mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho Afrika uliochezwa kwenye...
Mastraika watakavyogonganisha klabu za Ulaya dirisha hili MSIMU wa Ligi Kuu England wa 2024-25 umeshafika tamati na sasa macho na masikio ya mashabiki wa timu zinazoshiriki ligi hiyo yameelezwa kwenye dirisha la usajili kuona ni wachezaji gani...
Alonso anajua amtumie vipi Jude KOCHA Xabi Alonso amefichua mipango yake juu ya namna atakavyomtukia kiungo Mwingereza Jude Bellingham baada ya kutambulishwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid.
Tottenham, Arsenal vita kali kwenye mkwanja TOTTENHAM Hotspur itavuna pesa nyingi kuliko Arsenal kwenye michuano ya Ulaya msimu ujao baada ya kufanikiwa kunyakua ubingwa wa Europa League.
Amorim akutana na mabosi Man United KOCHA Ruben Amorim alilazimika kusafiri hadi Monaco kwenda kuzungumza na mabosi wa Manchester United saa chache baada ya kichapo fainali ya Europa League.
Timu vigogo Ulaya zazidi kumiminika kwa Leao CHELSEA, Bayern Munich na Manchester United zimeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa AC Milan na timu ya taifa ya Ureno, Rafael Leao, 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Lwassa jeshi la mtu mmoja Kagera KATIKA msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kagera Sugar na KenGold zimeshuka daraja tayari huku timu hizo zikiwa ndiyo zenye idadi ndogo zaidi ya mabao ya kufunga ambayo ni 22 hadi sasa zikiwa zimecheza...
Refa aliyefungiwa apewa fainali Conference League REFA ambaye alikumbana na adhabu ya kufungiwa mechi sita msimu huu ndiye aliyechaguliwa kuchezesha mechi ya fainali ya Conference League itakayokutanisha Chelsea na Real Madrid, Jumatano.