Siri ya vita za mapema England ni hii MAMBO ni mengi sana Ulaya. Wakati ligi zikiwa zimemalizika mwisho wa wiki hii, harakati mbalimbali zimeanza, kuna vigogo kama Manchester United wameshaanza maandalizi ya msimu na wengine...
Amorim ataka wachezaji Man United wazomewe KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekiri kuwa wachezaji wake waliopo Manchester United huenda wanahitaji kuzomewa na mashabiki ili kuwafanya warudi katika mstari.
Dili la Arsenal kwa Gyokeres latibuliwa CHELSEA inaripotiwa kuingilia dili la Arsenal kwa straika wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres iliyehitaji kumsajili katika dirisha hili.
Real Madrid yajisogeza kwa Wirtz REAL Madrid inapambana kutaka kumsajili winga wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani, Florian Wirtz, 22, kwa kumtumia kocha wake wa zamani Xabi Alonso ambaye ametangazwa kuwa kocha...
Mabomu, vurugu vyatawala Chelsea ikitwaa ubingwa MASHABIKI wa soka kutoka Uingereza na Hispania walihusika katika mapigano ya mtaani, wakirusha chupa na kupigana ngumi saa kadhaa kabla ya mechi ya fainali ya Uefa Conference League kati ya...
Bayern yambeba bure Jonathan Tah KATIKA maandalizi ya kushiriki michuano ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA, Bayern Munich imefanikiwa kumsajili Jonathan Tah kwa uhamisho wa bure kutoka Bayer Leverkusen.
Dili la Gyokeres, vigogo Arsenal watua Ureno ARSENAL imefanya mazungumzo na wakala wa mshambuliaji wa Sporting, Viktor Gyokeres, jijini Lisbon na imetoa ofa ya Pauni 59 milioni kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Sweden.
Staa NBA ataja timu mpya ya Ronaldo STAA wa NBA Giannis Antetokounmpo anayeichezea, Milwaukee Bucks na timu ya taifa ya Kikapu ya Ugiriki ametoa ushauri wa uhamisho kwa mshambuliaji wa Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno...
Hawa hapa watupiaji wa Klabu Bingwa Dunia MWEZI ujao, macho ya ulimwengu wa soka yatageukia Marekani ambako kutafanyika mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu ambapo utakuwa ni muundo mpya utakaohusisha timu 32 bora kutoka mabara yote.
Cunha ni suala la muda Man United MANCHESTER United wamekubaliana na Wolves juu ya kulipa Pauni 62.5 milioni kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa kumsajili staa wao Matheus Cunha katika dirisha lijalo.